Mechi ya Kirafiki ya kumuaga Kamanda Mpinga Kilimanjaro watoana bao 2 -0
![]() |
| Timu ya Mabalozi wa Usalama barabara Masahabi wa Yanga wakiwa uwanjani tayari kwa kuanza mchezo katika Kiwanja cha michezo Chuo cha Polisi Moshi (CCP)Picha na Vero Ignatus Blog. |
![]() |
| Timu ya Mabalozi wa Usalama barabara Masahabi wa Yanga wakiwa uwanjani tayari kwa kuanza mchezo katika Kiwanja cha michezo Chuo cha Polisi Moshi (CCP)Picha na Vero Ignatus Blog. |
![]() |
| Mashabiki wa timu mabalozi wa usalama barabarani wakiwa wamembeba Kamanda Mohamed Mpinga ,RPC Mbeya mara baada ya mpira kumalizika dk 90 katika uwanja wa michezo Chuo cha Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro. Picha na Vero Ignatus Blog. |

Msemaji wa timu ya Mabalozi wabuslama barabarani Inspector wa Polisi Ibrahim Samwix akisalimia baadhi ya wachezaji kabla ya timu zote kucheza.Picha na Vero Ignatus Blog.
Wa kwanza kulia ni Golikipa wa Timu mashabiki wa Simba ambae ni mwenyekiti wa Mabalozi wa Usalama barabarani Taifa(RSA ) John Seka .Picha na Vero Ignatus Blog
Balozi Mangara aliyevaa skafu shingoni ,Aliyevaa Tisheti nyekundu wakishangilia mara baada ya mpira kumalizika .Picha na Vero Ignatus Blog.Utambulisho ukiendelea kabla ya mechi kuanza.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mchezaji wa timu ya mabalozi wa usalama barabarani mashabiki wa Simba Mohamed Lungejo akiwa anasalimiana na mgeni rasmi.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mchezaji wa timu ya mabalozi wa usalama barabarani mashabiki wa Simba John Kelvin akiwa anasalimiana na mgeni rasmi kabla ya mchezo kuanza.Picha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Ignatus ,Moshi Kilimanjaro
Ni Mechi ya kirafiki kati ya Mabalozi wa Usalama barabarani shabiki wa simba na Mabalozi wa Usalama barabarani Shabiki wa Yanga ambapo mechi hiyo imechezwa katika viwanja vya michezo katika Chuo Cha Polisi Moshi
Mechi hiyo imechezwa ikiwa na Lengo la kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani Mohamed Mpinga ambae kwa sasa ni RPC mkoani Mbeya
na kumkaribisha Kamanda mpya wa Usalama barabarani Fotunatus Musilim
Timu ya kwanza kuliona lango la mwenzake ni Timu ya mabalozi wa usalama barabarani Mashabiki wa Yanga kipindi cha kwanza dakika ya 10 ambapo bao hilo lilifungwa na Jahnsen Kalembe mwenye jezi nambari 5 mgongoni
Bao la pili lilifungwa na Kamanda Mohamed Mpinga ndani ya dakika ya 19 kipindi cha pili.
Hadi mpira unamalizika Timu ya mabalozi wa usalama barabarani nashabiki wa simba walitoka kapa kwa kufungwa mabao 2 kutoka kwa Mabalozi wa usalama barabarani.











No comments