Msanii Young Dee amewaomba Watanzania msamaha kwa kuonesha vitendo vya utovu wa Nidhamu
Rapa kiwango Bongo, Young Dar es salaam Young Dee, amewaomba Watanzania msamaha kwa kuonesha vitendo vya utovu wa Nidhamu vilivyompelekea ...
Ladha ya Mafanikio ni Changamoto
Rapa kiwango Bongo, Young Dar es salaam Young Dee, amewaomba Watanzania msamaha kwa kuonesha vitendo vya utovu wa Nidhamu vilivyompelekea ...
Kesi ya madai iliofunguliwa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kuiomba mahakama kupig...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Jim James Yonazi kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda ameyataka mashirika yanahusika na kutathimini viwango vya ubora nchini kuhakikisha wanafika kati...
Katibu mkuu wa wizara ya elimu sayansi na teknolojia Maimuna Tarishi amezindua maaabara ya kisasa yenye mtambo wa utafiti wa mwendo kasi w...
Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 baada ya wabunge kupiga kura. Wabung...
Mbunge wa Vunjo kupitia NCCR Mageuzi James Mbatia akiwa anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Wabunge wa upinzani katika muonekano ...
WAZAZI na walezi wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wametakiwa kutowanyima haki za msingi ikiwa ni pamoja na elimu watoto wao kutokana na migo...
ZOEZI la bomoabomoa kwenye eneo ambalo Halmashauri ya Mji wa Kibaha linadai kuwa wananchi hao walijenga kinyume cha taratibu limewaacha wa...
MKOA wa Arusha, umefanikiwa kupata madawati 22, 756 na bado una up...
CHUO cha ufundi Arusha, ATC, kinatarajiwa kukamilisha matengenezo ya Helkopita na kuirusha angani mapema mwaka 2018 na kuwa ni chuo cha ...
. RAMANI YA WILAYA YA KIBAHA MKOA WA PWANI. WATU wasiofahamika wamevunja vioo vya madisrisha na kupaka kinyesi kwenye ya ofisi ya kata ya ...
Mwanamuziki wa R&B nchini Tanzania Rama D, amekanusha vikali habari zilizotapakaa mtandaoni kwamba kwa sasa anatoka kimapenzi na mwana...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza tarehe ya kumkabidhi rasmi uongozi wa chama, Rais John Pombe Magufuli ikiwa ni utaratibu wa kawa...
CHAMA Cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki (CHAWAMAPIKI) kata ya Maili Moja wilayani Kibaha mkoani Pwani kimefanikiwa kukabiliana na uha...
DAR ES SALAAM inakuwa mji wa 475 kujiunga na mtandao unaokuwa wa Uber duniani. Kwa uzinduzi wa Uber, jukwaa la ubunifu wa kiteknolojia, Da...
Baba wa mwanamitindo wa Afrika Kusini ambaye aliuawa Reeva Steenkamp, amezungumza mahakamani kwa mara ya kwanza akisema kuwa muuaji wa Rev...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka benki nchini zipitie upya riba zake ili Watanzania waweze kukopa na kurejesha kwa urahisi. Amesema ...
MTAA wa Mwendapole B wilayani Kibaha mkoani Pwani umeendesha msako wa kuwakamata vijana watatu waliounda kikundi cha uhalifu kijulikanacho...
Vijana wa Jamii ya Kifugaji Vigwaza Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani . BAADHI ya vijana wa kabila la wafugaji wa Kimasai kutoka Vigwaza wil...
Vukatz Initiatives (c) 2016 -2024 Vukatz All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel