Songa Fc yatinga fainali ligi ya mkoa wa Manyara


Timu ya Songa Fc,Pamoja na Mererani Fc  wakiwa wanasalimiana kabla ya Mechi kuanza katika  uwanja wa shekhe Amri Abeid.Picha na Vero Ignatus Blog
Timu ya Songa Fc wakiwa katika Picha ya Pamoja wakiomba dua Kwa Pamoja.Picha na Vero Ignatus Blog

 Meneja wa Timu ya Songa Fc Akizungumza na waandishi wa habari baada mechi hiyo kumalizika.Picha na Vero Ignatus Blog
Msemaji wa timu ya Songa akizungumza na waandishi wa habari.Picha na Vero Ignatus Blog
Kocha wa Songa Fc akizungumza na waandishi wa habari Mara baada ya mechi hiyo kumalizika na timu hiyo kuibuka kidedea.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mwamuzi wa mchezo huo bi  Salma omary mndaira akiwa tayari kikazi zaidi

Kutoka kushoto ni kocha wa Songa Fc bwana akiwa Pamoja na meneja wa timu hiyo bwana wakiendelea kufuatilia mechi ikiendelea uwanjani.Picha na Vero Ignatus Blog.

Mashabiki wa timu hiyo wakifanya yao uwanjani hapo .Picha na Vero Ignatus Blog.


Na.Vero Ignatu,Arusha.

Timu ya Songa Fc ya mererani imetinga fainali ligi ya mkoa wa manyara baada ya kuotoa timu ya mererani sport Kwa mikwajuvya penati 4 Kwa 2


Fainali hiyo ya mkoa wa manyara itapigwa jumatano katika ywanja wa shekh abeid karume
Ikumbukwe kuwa ligi hii ya mkoa wa manyara imeletwa mkoani Arusha Kwa sababu za kiusalama

Wakati huohuo Meneja wa timu hiyo ametoa with Kwa mashabiki wote  kuja Kwa wing I ili kuoshangilia timu hiyo siku ya fainali.

















No comments