CHINI NI BAADHI YA PICHA ZIKIWAONYESHA ASKARI WAKIFYEKA MASHAMBA YA BANGI ARUMERU






Jeshi la polisi Mkoani a Arusha limeteketeza ekari kumi na saba za Bangi wilayani Arumeru, ikiwa ni jitihada za kuangamiza zao hilo haramu.

Katika Zoezi lilioendeshwa naa jeshi la polisi,  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha  Kamishna msaidizi wa jeshi hilo Charles Mkumbo  ametoa  onyo kali  kwa wanaojihusisha na zao hilo na kuahidi kuwachukulia hatua viongozi wa vijiji pamoja na mabalozi wa nyumba kumi wanaoendelea kulea kilimo hicho maeneo yao.

Eneo la kisimiri juu Wilayani Arumeru ni moja kati ya maeneo ambayo kilimo cha bangi kimekithiri  huku wakulima hao wakitumia  mbinu mbali mbali za kuficha kilimo hicho ikiwemo kuchanganya mazao ya chakula pamoja na maua yanayo






No comments