Askofu Lucas Mbedule akemea vitendo vya utekaji vinavyoendelea hapa nchini.
Aliyepo katikato ni Baba Askofu Solomon Masangwa akiwa na Mchungaji Solomon Dereva wa Usharika wa Engarenarok Jijini Arusha ,pamoja na mwinjilist wa usharika wa Engarenaroc Mara baada ya ibada ya pasaka.Picha na Vero Ignatus Blog.
Baba Askofu Lucas Mbedule kutoka Dayosisi ya Kusini Mashariki Mtwara akusalimiana na waumini wa usharika wa Engarenarok akiwatakia kheri ya pasaka.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mchungaji Solomon Dereva wa Usharika wa Engarenarok akisalimiana na washirika akiwatakia kheri ya sikukuu ya pasaka .Picha na Vero Ignatus Blog.
Jengo Kaninsa Kkkt Usharika wa Engarenarok Jijini Arusha .Picha na Vero Ignatus Blog.
Baadhi ya washarika wakiwa nje ya kabisa Mara baada ya ibada ya pasaka kumalizika wakisalimiana na kutakiana Kheri ya sikukuu ya pasaka .Picha na Vero Ignatus Blog.

Waumini wa kabisa la Kkkt Usharika wa Engarenarok uliopo Jijini Arusha wakipongezana kwa sikukuu ya kukumbuka kufufuka kwa Bwana wao Yesu Kristo Mara baada ya ibada ya Pasaka .Picha na Vero Ignatus Blog.
Na,Vero Ignatus .Arusha
Askofu wa Kkkt Dayosisi ya Kusini Mashariki Lucas Mbedule amekemea videndo vya utekaji vinavyoendelea hapa nchini na kusema kuwa ni unyama mkubwa na haupendezi mbele za Mungu na Kwa wanadamu pia.
Ameyasema haya katika ibada ya pasaka katika Usharika wa Engarenarok ambapo amesema uuaji siyo lazima uchukue panga na kumkata mtu bali kile kitendo cha kumnyima mtu raha ,kumteka na kumtesa huo nao ni uuwaji
Amesema kuwa sikukuu ya pasaka inakumbusha jinsi gani Yesu Kristo alivyoshinda mauti Pamoja na uaminifu katika maisha ya kila siku hapa duniani
Sambamba na hayo amevitaka vyombo vinavyosimamia haki za raia vikiwemo Mahakama,Polisi ,Taasisi ya kupambana na rushwa waangalie namna gani wanavyotumia nafasi zao katika kutenda haki kwa uaminifu na kufiata sheria
Aidha Askofu huyo aliwakumbusha wazazi kuwalea watoto wao katika njia ipasayo huku akiwatakia wazazi kuishi maisha yenye mfano wa kuigwa kwa watoto wao kwani matokeo ya nanmna wanavyoishi yataonekana kwa watoto wao hapo baadae
Katika ibada hiyo amesisitiza na kwa kuwataka Wakristo waishi maisha ya uaminifu,watende haki,huku wakikumbuka kwamba Yesu Kristo alishinda kutoka mauti ili kazi yake iendelee.

No comments