WAHITIMU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA WAASWA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

WAHITIMU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA WAASWA JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru amewahasa wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa juu ya Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii kwa faida ya taifa.

Mhe. Kaganda ameyasema hayo leo alipokuwa akihitimisha mafunzo ya Wahitimu ya kujitolea ya operesheni miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa Oljoro na kusisitiza kufuatia ukuwaji wa Maendeleo ya Tekinolojia na utandawazi kila mtanzania anatamani kutumia Simu janja (Smartphone) ambazo zimekuwa na mambo Mengi ya mtu kufahamu kile kinachoendelea duniani.

Mhe. Kaganda ameeleza vijana wengi wamekuwa hawana elimu ya kutosha juu ya matumizi ya sahihi ya mitandao ya kijamii na kutazama mambo mbalimbali ambayo ni kinyume na maadili yetu ya Kiafrika.

"Hatukatai kutumia mitandao hiyo ila ni vyema mkatumia mitandao hito kwa kujipatia elimu na mambo mema ambayo yatawasaidia katika maisha binafsi na Sote kwa ujumla, Serikali yetu imetunga Sheria ya kudhibiti maudhui yasiyofaa mtandaoni ambapo utakapotu

No comments