RC MAKONDA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA MAKUNDI MAALUM
RC MAKONDA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA MAKUNDI MAALUM
Na. Vero Ignatus.Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia wanawake na makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ofisini kwake mapema leo Mei 2, 2024.
No comments