Watu 26 wamefariki na wengine 10 kujeruhiwa baada ya hiace kugongana na lori Mkuranga
Watu 26 wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda Wilaya ya Mkuranga mkoanini Pwani, kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Mtwara kuelekea Dar es Salaam.
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Machi 25, 2018 eneo la Mparanga wilayani Mkuranga.

No comments