Dkt Samia Suluhu Hassan Azungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom GhebreyesusIkulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

No comments