TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE!




Bus la kampuni ya CITY BOY lililokuwa likitokea Karagwe kuelekea jijini Dar es salaam limepata ajali ya kugongana uso kwa uso na fuso maeneo ya makomero Igunga jioni hii na kusababisha vifo na majeruhi wengi.

Tutaendelea kuwajuza kadiri tutakavyopata taarifa kutoka katika vyombo husika.

Kama una ndugu yako alisafiri leo na bus hilo, basi ni vema ukajaribu kufanya naye mawasiliano ili kujua hali yake.

No comments