HABARI PICHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifanya mazungumzo na Prince William katika jumba la Kifalme la Buckingham Palace.
Makamu wa Rais Samia yupo Uingereza kumwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za Jumuiya ya Madola. (Picha: Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments