Jeshi la polisi latangaza ajira.Angalia hapa vigezo na jinsi ya kuomba.mwisho wa kutuma maombi ni tr10 May,2018


Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa mwaka huu wa Fedha 2017/2018.

Ajira hizo zinawahusu vijana waliopo  katika kambi za JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika Operesheni Kikwete na Operesheni Magufuli na wenye elimu ya kidato cha nne, sita, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya juu na Shahada katika fani mbalimbali. 

Kujua sifa mbalimbali kwa waombaji soma taarifa hii hapa chini






No comments