Picha mbalimbali za Ibada nyumbani kwa Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru

 Familia ya Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru wakiwa nyumbani kwaajili ya ibada fupi iliyofanyika nyumbani kwake Wilaya ya Kinondoni Victoria  Kijitonyama Dar es salaam.Picha na Vero Ignatus Blog.

 Katekista George Wilbarld wa Parokia ya Chuo Kikuu akiwa anaongoza Ibada fupi nyumbani kwa Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru,Victoria Jijini Dar es salaam.Picha na Vero Ignatus Blog.


Jeneza lililoubeba mwili wa Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru likiwa nyumbani kwake ,kama linavyoonekana .Picha na Vero Ignatus Blog.
Mama Maria Nyerere akiwa anatoka mara baada ya ibada fupi kumalizika nyumbani kwa Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru.
 Jaji Msataafu Joseph Sinde Warioba .

Mhe.Stivin Wasira ambae aliwahi kufanya kazi na Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru,alipokuwa waziri.
 Waziri mkuu msataafu na na mjumbe wa Kamati kuu ya chadema Edward Ngoyai Lowasa akiwa pamoja na mkewe mama Regina Lowasa katika msiba wa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo .
Mhe,Stivin Wasira akiwa katika msiba nyumbani hapo.Picha na Vero Ignatus Blog.

Jaji Mstaafu Joseph Sinde warioba akiwa msibabani.Picha na Vero Ignatus Blog

 

Ibada fupi ya ya kumuaga Marehemu Kingunge Ngombake Mwiru imefanyika nyumbani kwake Victoria Jijini Dar es salaa. na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa serikali 

Mhe, Stivin Wasira alipewa nafasi ya kuzungumza kwa niaba ya familia na alikuwa na haya ya kusema:

Alikuwa mpigania uhuru aliyepigania uhuru wa Tanganyika na tangia kipindi hicho amekuwa mpiganiaji uhuru chini ya Hayati Mwalimu Nyerere

Amekuwa Katibu mkuu wa panafrican, mwalimum mkuu wa chuo kikuu cha TAnu kuvukoni,amefanya kazi nyingi serikalini,alikuwa mjenzi wa hoja alisema Wasira.

Historia yake inahusiana na Historia ya nchi ya Tanzania.

No comments