MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA YA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MZEE KINGUNGE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa muda mrefu marehemu Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole mtoto wa kiume wa marehemu Kingunge anayefahamika kwa jina la Kinjekitile mara baada ya kutoa heshima za mwisho katika viwanja vya Karimjee. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassani Mwinyi kisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho
Raisi wa Mstaafu wa Awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwetekisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho
Jeneza lililoubeba mwili wa Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassani Mwinyi kisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho
Raisi wa Mstaafu wa Awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwetekisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akisalimiana ma mama Maria Nyerere
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu,wapili kutoka kushoto ni Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassan Mwinyi,Rais msataafu wa awamu ya tatu Benjamin Willium Mkapa,Rais msataafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa nchi Tamisemi Suleima Jaffo wakiwa katika msiba wa Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es SalaamJeneza lililoubeba mwili wa Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru

No comments