MWENYEKITI UVCCM ARUSHA APANDISHWA KIZIMBANI NA VERO IGNATUS ARUSHA
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha (UVCCM), Lengai ole Sabaya (29)amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa makosa mi...
Ladha ya Mafanikio ni Changamoto
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha (UVCCM), Lengai ole Sabaya (29)amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa makosa mi...
Serikali yaombwa kufungua benki ya viwanda vidogovidogo itakayowawezesha wajasiriamali na vikundi rasmi kwa lengo la kuviwezeshavikundi...
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaaminifu kwenye matumizi ya fedha wanazopatiwa na wahi...
Tume iliyoundwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi kuchunguza mali za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), imeomba watu w...
Na Vero Ignatus .......... Monduli Baraza la madiwani Halmashauri ya Monduli limewafukuza kazi watumishi wawili na wawili kupewa onyo kal...
Tetemeko la ajabu la ardhi laikumba kanda ya ziwa lauwa 10 na kujeruhi 100.Kamanda wa polisi Bukoba Augustine Olomi athibitisha ...
Mkuu wa Wilaya ya Monduli Idd Hassan Kimanta Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Monduli wakiwa kwenye kikwo cha pamoja. Vero Igna...
Msafara wa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzani Samia Suluhu Hassani ambao ulikuwa unaelekea wilayani tandahimba ukito...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo(Katikati) akikata utepe kama ishara ya maadhimisho ya maiaka 50 ya Utume Burka,kushoto ni Mch. Mchungaji...
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wamebeba mabango. Na Vero Ignatus ..Arusha Wafanyabiashara wa maduka yaliyoko katika eneo la Stendi...
MADIWANI wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wametaka suala la mgawanyo wa mapato kumalizwa baada ya Halmashauri hiyo ...
Katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko. ARUSHA. Wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamefungua ke...
Marehemu Anneth Msuya. Dar-es-salaam Idadi ya washtakiwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya ambaye alikuwa dada wa aliyekuwa mfanyabias...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (katikati) akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnite akizungumza aliyea...
Vukatz Initiatives (c) 2016 -2024 Vukatz All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel