TCRA :WAUZAJI WA VIFAA VYA MAWASILIANO ,MAFUNDI WATENGENEZAJI SIMU ZA MKONONI WOTE WANATAKIWA KUWA NA LESENI KUTOKA MAMLAKA HUSIKA
Na. Vero Ignatus, Arusha Mamlaka ya mawasiliano Nchini kanda ya kaskazini imeendesha semina ya siku moja kuhusu huduma za utangazaji kwa...