Matokeo ya Utafiti wa Ukatili dhidi ya Watoto na Vijana (VACS)

Matokeo ya Utafiti wa Ukatili dhidi ya Watoto na Vijana (VACS) wa 2024 yanaonyesha kwamba tangu mwaka 2009, ukatili dhidi ya watoto umepungua na watoto wa Kitanzania wanalindwa vyema zaidi kuliko wakati wowote ule. VACS ni zao la ushirikiano wa kisayansi wa zaidi ya miaka 15 kati ya Serikali ya Marekani na Serikali ya Tanzania, kwa ufadhili kutoka PEPFAR na CDC. Marekani inajivunia kushirikiana na Tanzania kuhakikisha mustakabali bora na salama zaidi kwa watoto wote.
…………………………

The 2024 Violence Against Children and Youth Survey (VACS) results show that since 2009, violence against children is declining and Tanzanian children are better protected today than ever before. The VACS is the product of more than 15 years of close scientific collaboration between the U.S. Government and the Government of Tanzania, with funding from PEPFAR and CDC. The United States is proud to partner with Tanzania in ensuring a brighter, safer future for all children.
@⁨Waziri Gwajima WhatsApp⁩ @⁨Sospeter M. Bulugu⁩ 

Source: U.S. Embassy Tanzania

No comments