MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AKISALIMIANA NA MKUU WA KANISA LA KKKT TANZANIA DR. SHOO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKT) Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuwasili kwenye Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mch. Newton John Maganga, mkoani Tabora leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments