Radio 5 Arusha kwa kushirikiana na wadau wengine watoa msaada kwa Kituo cha watoto yatima cha Faraja.
Hilda Kinabo Mratibu Praise Charity tour akimka bidhi Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Shangarai Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog
![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Radio 5 Iliyopo Jiiini Arusha walipotembelea katika Kituo cha kulelea watoto yatima cha Faraja.![]() |
Meneja wa Radio 5Anjela akiwa anazungumza na kabla ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali walivyopeleka katika kituo hicho cha kulelea watoto yatima
Apostal Vicent kutoka Victory Faith akiwa anacheza na watoto katika kituo hicho cha Faraja alipotembelea kituoni hapo.Picha kwa idhinibya Vero Ignatus Blog.
Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio 5_akiwa anamnywesha maji mmoja wawatoto wanaolelewa katika cha kituo hicho cha Faraja.





No comments