Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha mwaka Mpya wa Kiislam.Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar tarehe 05 Julai, 2024
Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha mwaka Mpya wa Kiislam.Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar tarehe 05 Julai, 2024

No comments