Mkusanyiko wa picha za kuvutia zaidi kutoka kwa harusi ya kifalme kati ya Mwanamfalme Harry na Meghan Markle.
Haki miliki ya picha REUTERS, Umati ulishangilia Mwanamfalme Harry, ambaye sasa atakuwa Mtawala wa Sussex, na mkewe Meghan, Mke wa Mtawala...