MAGARI 40 YANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI TABORA KUFUATIA MSAKO ULIOFANYWA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA NCHINI (TIRA) KANDA YA KATI, WA KUBAINI VYOMBO VYA MOTO VYENYE BIMA FEKI.
Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini Kanda ya Kati Bi. Stella Rutaguza akizungumza na madereva pamoja na makondakta katika sten...