Yaliojiri Mazishi ya Marehemu Abdallah Khelef Shauiri Mjaka (DULLA) Nchini Norway Jumamosi 27-2-2017 Katika Makaburi ya Kiislam Skonger.
Mtoto wa Marehemu Abdallah Khelef Shauri (Dullah) Sofia Abdallah Khelef akiwa na shada la maua akijiandaa kuweka katika kaburi la Baba ...