Rais Dkt.Magufuli Awaapisha Viongozi Mbalimbali Pia Akutana na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Kilichopo Mtwara Al hajj Aliko Dangote Ikulu Jijni Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Olonyokie Ole -Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njom...