TAASISI YA UMMA ISIYOTUMIA TEHAMA / MIFUMO ILIYOWEKWA NA SERIKALI KUJITATHIMINI

Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora Mhe.Jenista Mhagama (Mb)akizungumza wakati wa kufunga kikao kazi cha siku tatu vha serikali Matandao Jijini Arusha 
Pichani ni wajumbe wa kikao kazi cha tatu cha Serikali Mtandao kikiwa kinahitimishwa na Mhe.Mhagama kilichofanyika katika ukimbi wa kimataifa wa AICC

TAASISI YA UMMA ISIYOTUMIA TEHAMA / MIFUMO ILIYOWEKWA NA SERIKALI KUJITATHIMINI

Na.Vero Ignatus,Arusha

Waziri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora Mhe.Jenista Mhagama (Mb) ameagiza Taasisi zote za umma ziwajibike kutumia  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na kama kuna mahali hawatumii wajitathmini,ili kupunguza urudufu wa uhitaji wa kila Taasisi ya Umma kuwa na mfumo wake.

Mhagama ameyasema hayo kwakati wa kufunga kikao kazi cha tu cha Serikali Mtandao Jijini Arusha, kuwa wapo wataalam wengi wanaotumia huduma za Kidigitali ambapo amewataka kuwa Wazalendo kwa Taifa sambamba na kuwataka kwenda kufanya thamini kwenye utendaji wao.

"Kuna baadhi ya wataalam wanaotumia huduma hizi za kidigitali kwa kunyofoa baadhi ya vitu kwenye mfumo mkongo wa Taifa, lakini hawana uzalendo kwa Taifa,ukishaambiwa mtandao upo chini ujue ukiona manyoya ujue  ishaliwa 
Watumishi wa umma tuongozwe na uzalendo kwa taifa ketu,nendeni mkafanye tathmini katika utendaji wetu" alisema Mhagama

Amewaagiza kutekeleza maazimio yote yalioyopitishwa 12 kwenye kikao kazi cha siku 3 cha Serikali Mtandao (eGA)huku akiwataka kwenda  kuyatumia kama kichocheo kikubwa cha kujenga ufanisi yatakayoendana na mabadiliko ya kasi ya teknolojia.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa EGa Mhamdisi Benedict Ndomba alisema kuwa Kikao kazi hicho kimekuwa cha manufaa makubwa kwani wameweza kukaa na kujadiliana kwa pamoja  kuwa namna ya kuweka mikakati na kimkakakati ya pamoja na namna ya kutatua changamoto na kuzigeuza kuwa fursa ambapo washiriki 1624 waliweza kuhudhuria

Aidha amesema wamepokea  changamoto mbalimbali ambazo zimewasilishwa katika Kikaokazi 
na wameahidi kutendea kazi
Niendelee kusisitiza matumizi ya tehama itatusaidia kuounguza gharama kwa serikali pamoja na matumizi ya serikali,hilo siyo suala la hiyari bali ni wajibu kutekeleza maelekezo ya serikali kwa vitendo

Wameweza kujadili masuala mbalimbal


ya kukuza taatuma zao na ili kukamilisha  lazima kila taaluma ihusike na waneweza kushiriki zaidi ya watu 1000 na wengi wao ni watumiaji wa mrandao

Aidha amezitaka Taasisi zote za Umma kutumia mifumo shirikishi na endelevu Taasisi idara na vitengo vijitahidi kutenga bajeti ya mafunzo ja kuhakiiisha kuwa mafunzo hayo yanafanyika na haswa mifumo ya kukusanya mapato ya serikali

Katibu wa Viziwi Tanzania (Chavita)ameishukuru Mamlaka ya Serikali Mtandao kwa kuwashirikisha katika kikao kazi cha siku tatu na wamewaomba taasisi nyingine kutowasahau katika shughuli zao za kila siku

Priscus Kiwango akiwasilisha maazimio mbele ya mhe.12 
Taasisi zote zaimma zinapaswa kuomba na kuoatiwa iibali kutekeleza majukumu yao kwa njia ya tehama


Utaratibu tukawe na vikaonvya ngazi ya mikoa kutathimini utendaji wa serikali mtandao ndazi za mikoa na kubaininchangamoto zinazowakabiki kwenye taasisi husika

Tasisi za uma ziwajibike kutumia tehama
Zihakikishe zinaendesha shughuli za taasisi na menejimenti ili kuounguza matumizi ya karatasi
Tovuti za raasisi ziwe na taarifa zilizouhishwa na ziwe zimeboreshwa
Zitoenkipaumbele kwenye ubuhifu kwenye tehama

Mhagama alisema Serikali mtandao kama watakipanga sawasawa wanao uwezo wa kupeleka huduma hadi vijijini na zikawafikia wananchi wote kwa wakati.pamoja na kupata tarifa za watendaji vijinini.

Kupitia mtandao serikali inayo uwezo wa kusimamia sera zake,pqmojq nqnkuzingatia miongozo na kanuni iliyoidhinishwa ili iweze kutumika nchini ya matumizi ya Tehama,pamoja nankubadilishana taarifa katika utumishi wa umma.
Ameyageuza maazimio kuwa ni maagizo ya serikali kw ataasisi zote za umma nchini.

Mifumo ya Tehama ihakikishwe inahifadhiwa kwenye vituo vilivyojengwa na serikali kwa usalama zaidi chini ya usimamizi wa serikali Matandao,pia milfumo wa barua pepe katika utendaji kazi katika ofisi za serikali.

Wametoa ahadi kwamba wanakwenda kuhuisha tovuti zao na kuhakikisha kuwa taarifa zao kwmaba ni sahihi na kuhakikisha wanakwenda kufanya kazi kidigitali pampja na vikaonvyote vyankisheria vinakwenda kutekelezwa kidigitali

85%ya wananchi katika nchi ya tanzania hawana bima ya afya

No comments