SERIKALI KUANDAA MIPANGO 2,480 YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KATIKA KIOINDI CHA MIAMI 4 ,VIJIJI 4,679 KATI YA VIJIJI 12,333 NCHI NZIMA
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhandisi,Mhandisi Anthony Sanga kwaniaba ya Waziri wa wizara hiyo, Deogratius N...