Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cleopa David Msuya amefariki dunia Mei 7,2025 Dar.
Waziri Mkuu Mastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cleopa David Msuya amefariki dunia hii leo Mei 7,2025 jijini Dar es Salaam. Taari...