Chama cha Karate Mkoa wa Kilimanjaro Kimefanya Tamasha la kuwapongeza wachezaji waliofanya vizuri Afrika ya Mashariki.
Na Vero Ignatus Kilimanjaro. Chama cha Karate Mkoa wa Kilimanjaro kimefanya Tamasha la kuwapongeza wachezaji wa Mchezo huo waliofanya ...