MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA (DCFA) YATEKETEZA HEKARI 21 ZA BANGI MONDULI .Mashamba yote yatakayokutwa na bangi,kutaifishwa na Serikali na kuwa mali ya Umma
Kamishna Generali Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya Gerald Musabila Kusaya ,akizungumza na waandishi wa habari katika ...