Hotuba Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Philip I. Mpango (Mb), Akiwasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Kwa Mwaka 2017/18
08 Juni, 2017 Dodoma I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika , naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu...