Rais Dk Shein azindua Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) Fumba katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Gr...